DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ?Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoa
Wakati mwingine mazingira yanawaathiri labda wanapoona dada zao, ndugu au majirani wanapoolewa na hizi mambo za tamthilia na mitandao zinapoonyesha ishu za ndoa zinaamsha tamaa ya kuolewaKwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ?
Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU
Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo?🤔🤔🤔🤔 daaah hii ndo imetokea kwa ex wangu...
20-24 Akasema haolewi mimi mpaka nijitafute na nijipate
ila huko alipoenda akawa mke wa pili
Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kwa ukristo hakunaga mke wa piliHivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo?
hakuna 40 - 50
Umeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote?Kwenye imani ya kiislamu ni sawa ila kws ukristo hakunaga mke wa pili
Mwanamke kuolewa mke wa piliUmeelewa swali langu kwa huyo niliyemquote?
Hakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu..Hivi mwanamke akiolewa mke wa pili ni tatizo?
Nimekupata mkuuHakuna tatzo ila wengi wao hawataki hiko kitu..
Mpaka anakubali basi jua hiyo ni opt ya mwisho tuu..""atafanyaje tena ""