DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ?Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoa
Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU