Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Amini mkuu jinsia KE kiasili akishaanza kujitambua anapenda sana kuolewa tofauti na jinsia ME inapohusu kuoa
Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ?

Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU
 
Kwahiyo mtoto wa miaka 15 anaweza kuwa anatamani mwanaume ?

Maana hili Jambo linanifikirisha Sana hasa kwa sisi tunaoishi Sehemu hatarishi Tunapata shida kuhusu mihemko ya wadogo ZETU
Wakati mwingine mazingira yanawaathiri labda wanapoona dada zao, ndugu au majirani wanapoolewa na hizi mambo za tamthilia na mitandao zinapoonyesha ishu za ndoa zinaamsha tamaa ya kuolewa
 
Back
Top Bottom