Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Koh koh koh ............tumbaku ya leo imekuwa kali sana Mkuu, utasema ni ile ya kutoka Madaba kule Ruvuma π€Wajukuu muhimu sana..
Ila humu una watoto tuu..
Wajukuu bado sana au naongopa...ππππ