Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Wajukuu muhimu sana..
Ila humu una watoto tuu..
Wajukuu bado sana au naongopa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Koh koh koh ............tumbaku ya leo imekuwa kali sana Mkuu, utasema ni ile ya kutoka Madaba kule Ruvuma πŸ€—
 
Mi ni moja wa kijana ambaye takutumia ipasavyo na kwa yoyote atakae kuletea habari za ajabu takua kifua mbele kumuadabisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ€πŸ€
Nitashukuru ikiwa hivyo Mkuu, maana Wazee tunapigwa vita kila kukicha.

Bora uwe mtetezi wetu Mkuu πŸ€—
 
Koh koh koh ............tumbaku ya leo imekuwa kali sana Mkuu, utasema ni ile ya kutoka Madaba kule Ruvuma πŸ€—
Yaoo yaooo
Ikitokea mbinga ndani ndani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna situation tuu..
Ukikutana nazo.. maana hao wanao hama si kama hawajaona yote hayo
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ€
Mungu aliyeamua nizaliwe kwa imani hiyo.. anitetee na kuniepushia mbali
Nisije kurudi kwake huko nikakuta tena maswali kwann nilihama hama πŸ˜„πŸ˜„
 
Mungu aliyeamua nizaliwe kwa imani hiyo.. anitetee na kuniepushia mbali
Nisije kurudi kwake huko nikakuta tena maswali kwann nilihama hama πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ndo hicho unacho ogopa
Mi naona kawaida tu kikubwa ni mungu huyu huyu mmoja
 
Nitakucheki japo ni very sensitive...ingekuwa ana kwa a...ingekuwa afya sana.

Hujambo lkn?
😊 huku chini kuna manyunyu muda nayasikia sikia.
Ngoja tuone itakuwaje by 19PM au.

Niko poa sana..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ndo hicho unacho ogopa
Mi naona kawaida tu kikubwa ni mungu huyu huyu mmoja
Ni mmoja yes

Ila kwanini anaabudiwa kwa misingi tofauti?
 
Ni mmoja yes

Ila kwanini anaabudiwa kwa misingi tofauti?
Yaani ni vile vile tuu..
Ila ukiona unasababu sababu nyingi basi jua ujapenda wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™
 
Wanawake sahv hasa Hawa watoto wadogo wa 20s Wanasema kuwa hawataki ndoa ,hii imetokana na vijana siku hizi hawataki kuoa .yaani hawapendi kuoa.so kilichopo ni habari za sizitaki mbichi.
 
Mwanamke hawezi kukusaliti kama unajua kutimiza majukumu yako ipasavyo.

Kumbuka pamoja na kumuhudimia kwa mahitaji yake ya kifedha basi hakikisha na lile hitaji lake la Kimwili unalitimiza Kisawasawa.
Akili zako unazijua mwenyewe. Mama yako mwenyewe kakusaliti sembuse wa wengine! Mahitaji ya kifedha! Kwa hiyo,unamaanisha wanaume tumezaliwa kuwataftia hela wanawake?! Bank zilipo na ATM hawapajui? Wakatafute huko
 
Wanawake sahv hasa Hawa watoto wadogo wa 20s Wanasema kuwa hawataki ndoa ,hii imetokana na vijana siku hizi hawataki kuoa .yaani hawapendi kuoa.so kilichopo ni habari za sizitaki mbichi.
Mwanamke akishafikisha umri wa miaka 20 tu kaa ukijua tayari kashaanza kuifikiria na kupiga picha akilini siku yake akiwa anaolewa, wedding gown atakayovaa n.k

Wasikudanganye wanapenda sana ndoa ila tatizo wanatafuta wanaume ambao hawawezi kuwapata mwisho wa siku wanajikuta na umri umewatupa mkono
 
Kuna kitoto kipo Around 15-16yrs kinaongea mambo ya ndoa ninshtuka Sana kiufupi watoto wakike wapo Mbele ya muda sana
 
Back
Top Bottom