Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
- Thread starter
- #21
Hii simulizi ukiangalia kama ya kijiweni lakini kama ina ka-ukweli ,maana kama askari aliripoti kwa mkuu wa kambi,mkuu kambi akawasiliana na Kampala na kupata go ahead na kupeleka battalion yote kagera basi huo ndo kama uvamizi wenyewe
Hatujui wala hatuna majibu halisi leo , ila walituvamia tukawanyoosha kwa viboko vya matakoni.