Hatujui wala hatuna majibu halisi leo , ila walituvamia tukawanyoosha kwa viboko vya matakoni.
Yaani unaongelea kirahisi tu jeshi la nchi 1 kuvuka mpaka kwenda kupiga jeshi la nchi nyingine kama vile unaongelea FFU wanaenda kuchapa wanafunzi wa bwenini waliogoma.Hii simulizi ukiangalia kama ya kijiweni lakini kama ina ka-ukweli ,maana kama askari aliripoti kwa mkuu wa kambi,mkuu kambi akawasiliana na Kampala na kupata go ahead na kupeleka battalion yote kagera basi huo ndo kama uvamizi wenyewe
Na unataka kuishia tu hapo?Hatujui wala hatuna majibu halisi leo , ila walituvamia tukawanyoosha kwa viboko vya matakoni.
Mmh! Ngoja kidogo, Mkuu mleta mada naomba kufahamu mahala ulipotoa hicho kipandechenye maelezo ya kiingereza kama ni gazeni au kitabu jina lake tafadhali.
Nimesoma story yote na huyo mganda alikua anagombea bibi,ni demu tu ndio alifanya akapigwa
Inawezekana haujui kama kuna vijana wa kitanzania 21 waliokua wakisomea u-pilot huko Uganda waliuwawa kwa amri ya Idd Amini
Inshort kulikua na series ya events kabla ya kuanza rasmi kwa vita ya Ug vs Tz.
Yes ushahidi upo boss,JOHN MALECELA yeye ndiye aliyetumwa na Mwl. Nyerere kwenda Uganda kwa Idd Amin kumzuga wkt huo arrangments za kuwatorosha vijana walioko Makerere na Soroti zikiendelea kwa kasi,vijana wa Makerere wakatoroshwa wote,wale wa Soroti wakagoma maana walikua wamebakiza mwezi 1 wa graduate u-pilot,hayo aliyasema akihojiwa na Channel ya Maisha Magic chan. No 158(DSTV) kipindi kinaitwa Maisha Yangu cha tarehe 03/06/2019, saa 19:00)Una ushahidi wowote mkuu? kwani mie nilikuwa na ndugu yangu kule Soroti Flying School na hakunieleza story kama hiyo mbali na kwamba walitoroka kupitia mpaka wa Kenya
Utahangaika sana wapinzani hawaishi Duniani! ukiwaua sana, haohao wanao kusaidia kuua hawatakuamini km kuwa hutawaua wao baadaye! dawa yake wanakumaliza wao faster! ili wawe salama! mfano; Mungu yeye aliacha mpinzani wake apete atakavyo, ili kuleta amani Mbinguni!
Utahangaika sana wapinzani hawaishi Duniani! ukiwaua sana, haohao wanao kusaidia kuua hawatakuamini km kuwa hutawaua wao baadaye! dawa yake wanakumaliza wao faster! ili wawe salama! mfano; Mungu yeye aliacha mpinzani wake apete atakavyo, ili kuleta amani Mbinguni!
Kuna nchi zimewahi kupigana Vita sababu ya ushabiki wa mpira, wewe unasema hili?Hii mbona si sababu kubwa ya kupelekea vita,labda tuseme tu tukio hili lilitokea wakati tayari uchokonozi umezidi.
Hata moto ukitaka kuuwasha lazima uwe na kamoto kadooogo ili uwashe moto mkubwa,ni sawa kila sababu ya kuanza kwa vita,basi hao walikuwa wanatafuta pakuanzia tu.Kuna nchi zimewahi kupigana Vita sababu ya ushabiki wa mpira, wewe unasema hili?
SOMA tena! Mkuu amani hiyo siyo Duniani, Ni mbinguni, ange muua Shetani Malaika wengine Mbinguni wange muabudu kwa uoga! wangemchukulia Mungu km katili hivi. wangejiuliza huenda Shetani yuko sahihi. kmTundu Lisu watanzania wanvyomuona yuko sahihi, alisema ''tukitoka sisi anakuja kwenu!'' ikawa kweli.Duh huo mfano wa Mungu kumwacha adui yake ili kuwe na amani duniani umepata wapi kwenye vitabu vya dini
Hivi vitabu hardcopy vya huyu Frown Kagauka vinapatikana wapi? Nakihitaji sana.Penda kusoma Vitabu+ Magazeti.
Sehemu ya Bar imesimuliwa lakini sivyo ulivyo isimulia.
Ushauri:
Tafuta Kitabu au Makala ya Kachero Frown Kagauka- Mateka Mpakani
Waweza hata ku-Google