Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Hello Great thinker wa JF,

Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?

Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?

images (10).jpeg
 
View attachment 3131409
Kweli wewe ni critical thinker, umefikilia nakuja na hilo, Tanzania tuna jivunia kua na vijana creative.
 
sababu kani yake ya mshikano kwenye Unganisho zake ni kubwa 😂😂😂
kemia ingekua kwa kiswahili
Anyways uimara wa kitu unatokana na nguvu na uimara baina ya atoms kwenye hio kitu
Almasi imeumbwa na carbons nyingi ambazo zimeshikana mara kwa mara kwa very strong bond ndo sababu aint easy to break ila inawezekana ikitumika nguvu ya ziada
 
Mkuu kama Almasi imeumbwa kwa Carbon na kama ndiyo kitu kinaifanya iwe imara,
Vipi kuhusu makaa ya mawe, ile nayo si pure Carbon?
Mbona siyo ngumu?
 
Hello Great thinker wa JF,

Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?

Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?

View attachment 3131409
Almasi ni moja ya vitu vigumu zaidi duniani, lakini haimaanishi kwamba haipasuki au haiharibiki kabisa ikigongwa.

Almasi ina ugumu wa kiwango cha 10 kwenye skeli ya Mohs, ambayo hupima ugumu wa madini.

Hii inamaanisha kwamba inaweza kukwaruza vitu vingine vyenye ugumu mdogo, kama kioo au chuma.

Lakini ugumu wa almasi ni juu ya uwezo wake wa kukabiliana na mikwaruzo, siyo ustahimilivu wa kupasuka.

Almasi ina tabia ya kupasuka kirahisi (brittle), ambayo inamaanisha kwamba kama ikigongwa kwa nguvu fulani, inaweza kuvunjika au kupasuka.

Kwa hiyo, kama almasi ingegongwa kwa nyundo katika mwelekeo fulani wa kijiometri, inaweza kupasuka kwa sababu ya tabia yake ya kuwa brittle, licha ya kuwa ngumu sana.

Kwa nini almasi ni maalum:
Almasi inapata ugumu wake kutokana na muundo wake wa kijiometri wa atomi za kaboni.

Atomi za kaboni kwenye almasi zimepangwa kwenye muundo wa kipekee (tetrahedral), ambapo kila atomi ya kaboni inaunganishwa na nne nyingine kwa nguvu za kovalenti.

Hii hufanya almasi kuwa na ushirikiano thabiti na mgumu wa kimuundo.

Je, almasi inaweza kutumika kwenye skrini za simu na TV?

Ingawa almasi ni ngumu sana na inaweza kustahimili mikwaruzo, haitumiki kwa wingi kwenye skrini za simu au TV kutokana na sababu mbalimbali:

1. Gharama: Almasi ni ghali sana kutengeneza au kutumia kwa matumizi makubwa kama skrini za simu au TV.

2. Kupasuka kirahisi (brittleness): Ingawa almasi ni ngumu, bado inaweza kupasuka kwa urahisi chini ya shinikizo au mshtuko, jambo ambalo sio nzuri kwa vifaa kama simu au TV ambazo zinahitaji kuwa na uwezo wa kustahimili kudondoka.

3. Teknolojia mbadala: Vifaa kama Gorilla Glass na sapphire hutumika kwenye skrini za vifaa kwa sababu ni vigumu dhidi ya mikwaruzo na zinatoa uwiano bora wa ugumu na kustahimili mshtuko.

Kwa hiyo, ingawa almasi ina sifa ya ugumu wa juu, haifai moja kwa moja kutumika kwenye skrini za vifaa vya elektroniki kutokana na tabia yake ya kupasuka kirahisi na gharama zake za juu.
 
Elimu nzuri hata wa darasa la IVD anaelewa
 
Hello Great thinker wa JF,

Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?

Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?

View attachment 3131409
Mkuu nyundo(chuma) kwa almasi ni kama sabuni ya kipande (jamaa) na kipande cha chupa),

Ukigonga nyundo kwa nguvu kunauwezekano almasi ikatitia ndani ya nyundo mithili ya chupa inavyotitia ndani ya sabuni.

=>Almasi imeundwa na carbon ambayo imetokana na mabaki ya viumbe hai kama vile mimea iliyopitia mabadiliko ya kiumbo na kikemikali kwa miaka mingi,

moja ya hatua ya hayo mabadiliko ni makaa ya mawe, kwaiyo makaa yamawe yanaweza kua almasi kama yataendelea na hatua zingine za mabadiliko kama vile;

=>Metamofizimu,
Ni hatua ambayo madini kama makaa ya mawe huko ardhini yanakutana na joto kali/a very high temperature (kushinda la jehanamu) ikiambatana na mkandamizo mkubwa(/very high pressure, kiasi kwamba mlima kilimanjaro kukikutana na mgandamizo huo mlima unapotea ndani ya sekunde moja).

Makaa yamawe yanaipata hali hiyo kwa muda marefu non stop kama miaka elfu-milion->nakuendelea sasa apo unaweza kupata picha kwanini almasi ni Ngumu kiasi hicho ilhali imetokana na magogo ya miti.

=>Kiuchumi haingii akilini lakini inawezekana kama uwezo huo unao na umeamua unawafuata kiwandani naweka special order wanakutengenezea kifaa.
 
ugumu wa almas ni kwa kuisugua sio kwa kuigonga mkuu. Ndio maana diamond husuguliwa na diamond nyenzake ila ikigongwa inapasuka.
ndiyo maana wanase, diamond is hard but brittle.
 
Mkuu nyundo(chuma) kwa almasi ni kama sabuni ya kipande (jamaa) na kipande cha chupa),

Ukigonga nyundo kwa nguvu kunauwezekano almasi ikatitia ndani ya nyundo mithili ya chupa inavyotitia ndani ya sabuni.

=>Almasi imeundwa na carbon ambayo imetokana na mabaki ya viumbe hai kama vile mimea iliyopitia mabadiliko ya kiumbo na kikemikali kwa miaka mingi,

moja ya hatua ya hayo mabadiliko ni makaa ya mawe, kwaiyo makaa yamawe yanaweza kua almasi kama yataendelea na hatua zingine za mabadiliko kama vile;

=>Metamofizimu,
Ni hatua ambayo madini kama makaa ya mawe huko ardhini yanakutana na joto kali/a very high temperature (kushinda la jehanamu) ikiambatana na mkandamizo mkubwa(/very high pressure, kiasi kwamba mlima kilimanjaro kukikutana na mgandamizo huo mlima unapotea ndani ya sekunde moja).

Makaa yamawe yanaipata hali hiyo kwa muda marefu non stop kama miaka elfu-milion->nakuendelea sasa apo unaweza kupata picha kwanini almasi ni Ngumu kiasi hicho ilhali imetokana na magogo ya miti.

=>Kiuchumi haingii akilini lakini inawezekana kama uwezo huo unao na umeamua unawafuata kiwandani naweka special order wanakutengenezea kifaa.
Ufafanuzi mzuri sana mkuu! Japo nina maswali kadhaa hapo kwenye "Metamofizimu"
 
Diamond sio ngumu kwa kuigonga ni ngumu kwa kuisugua. Hivyo kuna uwezekano wa nyundo kuishatter diamond ikigongwa vizuri kwenye its line of weakness. Ndiyo maana wanasema diamonds are hard but brittle.
 
Hello Great thinker wa JF,

Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?

Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?

View attachment 3131409
Una Kitu utafika mbali.
 
Ukiweka kioo cha simu cha Diamond kama wanavyosema Gorilla glass
hicho cha Diamond kinaweza kugharimi shilingi za kitanzania takriban milioni 350; sasa kama simu yenyewe ni ya shilingi milioni tatu, ndio sababu unaambiwa Vitoto vya 2000 havijui kufanya tafiti.......
Mkuu wewe kama hauwezi kununua simu kwa milioni 300+ wapo wenzako wanao huo uwezo.

Watu wananunua gali kwa zaidi ya bilioni moja, unashangaa vipi mtu kununua simu kwa milioni 300?

Naelewa Almasi ni ghali, bei mbaya.

Kitu kuwa ghali haina maana kwamba tushindwe kukijadili hapa kisa mimi na wewe hatuna hiyo hela.

Pamoja na yote asante kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom