the big fish
Member
- Jun 26, 2022
- 44
- 79
Unazungumizia almasi au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo mazuri lakini kwa kukumbushana tu mkuu hakuna element inayoitwa diamond. Diamond is not an element, almas ni allotrope ya carbon, Diamond imetengenezwa na element ya moja tu carbon.Mkuu diamond ni hard actually ni the hardest natural element japo now kuna artificial elements ambazo ni hard kuliko diamond. ila diamond ni brittle inaweza kuvunjika hata kwa kugongwa na chuma. Ugumu wake uko kwenye kusuguliwa na ndio maana hutumika kudrill miamba kama tip ya drill kwa sababu ni ngumu kuishilia kwa kuisugua.
Unaweza kutazama video kadhaa za maelezo youtube ambapo diamond zinavunjwa kwa nyundo. Maana yake si kwamba si rahisi kuvunjika, ila hammer inaweza kuivunja hivyo kama inaweza kuivunja hasa ikiwa na tip.
asante kwa kunirekebisha mkuuMaelezo mazuri lakini kwa kukumbushana tu mkuu hakuna element inayoitwa diamond. Diamond is not an element, almas ni allotrope ya carbon, Diamond imetengenezwa na element ya moja tu carbon.
Sentensi sahihi ingekuwa diamond is hardest substance.
"Vitakuwa na bei kubwa, hakuna atakaye nunua"Muache awe na mawazo huru. Pengine hajui kwamba, kuwa na vifaa vyenye almas vitakuwa na bei kubwa sana. Hakuna atakayenunua. Pia vitakuwa vinawindwa sana na vibaka.
😂
"Vitakuwa na bei kubwa, hakuna atakaye nunua"
"Pia vitakuwa vinawindwa sana na vibaka"
Kwa hizo nukuu nasikitika kusema Una mawazo ya kifukara sana mkuu.
Pole sana.
Ingekuwa vyema ungesema kwamba hautaweza kununua wewe kama wewe.
Aha ha haaa, yaani kwa akili yako a second most leary
Sasa mkuu hivi unajua kuna simu ina thamani ya dola za marekani milioni 48?Aha ha haaa, yaani kwa akili yako a second most leary mineral ndiyo itumike kwenye screen ya simu janja?? Endelee kuwa na mawazo ya utajiri wa kufikirika.
Sasa mkuu hivi unajua kuna simu ina thamani ya dola za marekani milioni 48?
Hiyo ni sawa na bajeti ya nchi yetu ya tanzania mwaka 2023 2024.
Kwahiyo simu itakayo tengenezwa kwa Almasi siyo kwamba lazima niimiliki mimi au wewe.
Lengo la uzi wangu ilikuwa ni kujua kama inawezekana au haiwezekani.
Pamoja na yote nimejifunza kwamba inawezekana, inshu ni pesa tu.
Siyo Company ni hand set ndiyo yenye hiyo gharama
Mkuu pendelea kujifunza na siyo kudhihaki maswali fulani yanapoulizwa.Manufacturer ni nani?
Pia tuma picha yake.
Dah 🤭🤭🤭Element nyingi zimeundwa na carbon!!!?
Kwahiyo Almas na yenyewe ni element?[emoji848]
Kiswahili kigumu Sana kuelezea hiyo kemia.Atomi za kaboni kwenye almasi zimepangwa kwenye muundo wa kipekee (tetrahedral), ambapo kila atomi ya kaboni inaunganishwa na nne nyingine kwa nguvu za kovalenti.