Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

Maelezo mazuri lakini kwa kukumbushana tu mkuu hakuna element inayoitwa diamond. Diamond is not an element, almas ni allotrope ya carbon, Diamond imetengenezwa na element ya moja tu carbon.

Sentensi sahihi ingekuwa diamond is hardest substance.
 
Muache awe na mawazo huru. Pengine hajui kwamba, kuwa na vifaa vyenye almas vitakuwa na bei kubwa sana. Hakuna atakayenunua. Pia vitakuwa vinawindwa sana na vibaka.
😂
"Vitakuwa na bei kubwa, hakuna atakaye nunua"
"Pia vitakuwa vinawindwa sana na vibaka"

Kwa hizo nukuu nasikitika kusema Una mawazo ya kifukara sana mkuu.

Pole sana.

Ingekuwa vyema ungesema kwamba hautaweza kununua wewe kama wewe.
 
Aha ha haaa, yaani kwa akili yako a second most leary mineral ndiyo itumike kwenye screen ya simu janja?? Endelee kuwa na mawazo ya utajiri wa kufikirika.
 
Reactions: Tui
Aha ha haaa, yaani kwa akili yako a second most leary
Aha ha haaa, yaani kwa akili yako a second most leary mineral ndiyo itumike kwenye screen ya simu janja?? Endelee kuwa na mawazo ya utajiri wa kufikirika.
Sasa mkuu hivi unajua kuna simu ina thamani ya dola za marekani milioni 48?

Kwahiyo simu itakayo tengenezwa kwa Almasi siyo kwamba lazima niimiliki mimi au wewe.

Lengo la uzi wangu ilikuwa ni kujua kama inawezekana au haiwezekani.

Pamoja na yote nimejifunza kwamba inawezekana, inshu ni pesa tu.
 
Bro embu twende taratibu, una maana hand set au telecom company ndiyo ina worth that much?
 
Bro embu twende taratibu, una maana hand set au telecom company ndiyo ina worth that much?
Siyo Company ni hand set ndiyo yenye hiyo gharama
 
Manufacturer ni nani?
Pia tuma picha yake.
Mkuu pendelea kujifunza na siyo kudhihaki maswali fulani yanapoulizwa.

Bila shaka hata wazo la kutengeneza ndege miaka ya zama za giza ilionekana kama kitu cha kijinga na kisichowezekana.

Ingia mtandaoni ukajifunze kuhusu hiyo simu "Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond"
 
Hivi kwa Tanzania ni sehemu gani wanachimba almasi.

Mimi nayajua machimbo ya Mwadui Shinyanga.
Nadhani ndiyo machimbo makubwa ya Almasi kwa ukanda wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…