Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora,

wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo.

Ni kweli ?
Pamoja na sifa zote hizo imewachukua miaka zaidi ya 25 kuingia makundi ya klabu bingwa au tuseme robo karne.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two. Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018
Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
 
Sasa kama mliweza kuwa juu miaka yote na bado mlizidiwa kitakwimu na Simba kimataifa hamuoni kama kulikuwa na mbeleko? Yaani Real madrid izidiwe na valencia UEFA!
 
kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora,

wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo.

Ni kweli ?
Ukweli unao julikana na kusithubutishwa na TBS ni WA 5G tu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom