sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mara ngapiYanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao.
Kivipimara ngapi
Mara ngapi Simba imewahi kushika nafasi mbovu kiasi hichoKivipi
Aliokolewa na Yanga asishuke daraja mara moja miaka ya 1980s, kuwa nje ya top two mara nyingi tuu.Mara ngap simba imewahi kushika nafasi mbovu kiasi hicho
X2Mara ngap simba imewahi kushika nafasi mbovu kiasi hicho
Pamoja na sifa zote hizo imewachukua miaka zaidi ya 25 kuingia makundi ya klabu bingwa au tuseme robo karne.kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora,
wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo.
Ni kweli ?
Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two. Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018Yanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Simba haijawahi kufika fainali yoyote ya CAF, labda ile ya AbiolaPamoja na sifa zote hizo imewachukua miaka zaidi ya 25 kuingia makundi ya klabu bingwa au tuseme robo karne
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ukweli unao julikana na kusithubutishwa na TBS ni WA 5G tu..[emoji23][emoji23][emoji23]kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora,
wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo.
Ni kweli ?
Na costal union ndiyo akabeba ndoo msimu huoYanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Hii ndio umeona itakuondolea machungu ya kipigo cha mbwa koko kono la nyani?Pamoja na sifa zote hizo imewachukua miaka zaidi ya 25 kuingia makundi ya klabu bingwa au tuseme robo karne
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app