Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Acha uongo weweHapana ishawahi kuwa nje ya namba two
Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018
Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
Huko Kimataifa umemzidi nini Yanga, una kombe au medali gani?Sasa kama mliweza kuwa juu miaka yote na bado mlizidiwa kitakwimu na simba kimataifa hamuoni kama kulikuwa na mbeleko?Yaani Real madrid izidiwe na valencia UEFA!
Na ikachukua msimu mmoja tu kufika fainali CAF confederationPamoja na sifa zote hizo imewachukua miaka zaidi ya 25 kuingia makundi ya klabu bingwa au tuseme robo karne
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nakumbuka kitu kama hiki.Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two
Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018
Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
ÀaahaaàYanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa,ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Hii mechi yanga alionesha upendo wa ajabu sana Simba wanapaswa kutuheshimu maisha Yao yoteYanga haijawahi kuwa nje ya top two tangu imeanzishwa ila wale makolo walishakaribia kushuka daraja tukawaokoa na tukakosa ubingwa kwa ajili yao. Na hata ipitie magumu na ukata kiasi gani haijawahi kuwa nje ya top two.
Nimekuwekea hapo misimu iliyomaliza ikiwa ya tatu , hata tu kujiridhisha kwa ku-google kabla ubishe nayo huwezi?Acha uongo wewe