Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasindikiza na kipande hiki cha muziki ndiko ukweli unadhirika👇Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
View attachment 2833850
Kati ya mia wanaofurahia ndoa zao hawafiki watano, juzi nilikua kwenye semina na wanandoa ndiko nilikopata takwimu hizo.[emoji3][emoji3] wana maneno hao, but kuna watu wanaenjoy na ndoa zao full amani na upendo, ukikosea kuoa ndiyo shida au ukiangalia sura na shape kama kigezo kikuu cha ndoa ndiyo utapambana na chaguo lako
Aisee ila mimi mtaani, kazini ndugu, naona wenye ndoa wanaenjoy sana tu, so wapo wengi tu mkuuKati ya mia wanaofurahia ndoa zao hawafiki watano, juzi nilikua kwenye semina na wanandoa ndiko nilikopata takwimu hizo.
Ni vile tu kuta za nyumba zinaficha mengi ila wengi wao kwa nje hawana budi kuonyesha wapo poa ndani ya nyumba zao ila yanayoendelea huko ndani Mungu tu anajua, saaana mwenye uafadhali kwenye ndoa ni mwanamke.Aisee ila mimi mtaani, kazini ndugu, naona wenye ndoa wanaenjoy sana tu, so wapo wengi tu mkuu