Kuna ukweli wowote hapa ?

Kuna ukweli wowote hapa ?

😀😀 wana maneno hao, but kuna watu wanaenjoy na ndoa zao full amani na upendo, ukikosea kuoa ndiyo shida au ukiangalia sura na shape kama kigezo kikuu cha ndoa ndiyo utapambana na chaguo lako
 
[emoji3][emoji3] wana maneno hao, but kuna watu wanaenjoy na ndoa zao full amani na upendo, ukikosea kuoa ndiyo shida au ukiangalia sura na shape kama kigezo kikuu cha ndoa ndiyo utapambana na chaguo lako
Kati ya mia wanaofurahia ndoa zao hawafiki watano, juzi nilikua kwenye semina na wanandoa ndiko nilikopata takwimu hizo.
 
Kati ya mia wanaofurahia ndoa zao hawafiki watano, juzi nilikua kwenye semina na wanandoa ndiko nilikopata takwimu hizo.
Aisee ila mimi mtaani, kazini ndugu, naona wenye ndoa wanaenjoy sana tu, so wapo wengi tu mkuu
 
Aisee ila mimi mtaani, kazini ndugu, naona wenye ndoa wanaenjoy sana tu, so wapo wengi tu mkuu
Ni vile tu kuta za nyumba zinaficha mengi ila wengi wao kwa nje hawana budi kuonyesha wapo poa ndani ya nyumba zao ila yanayoendelea huko ndani Mungu tu anajua, saaana mwenye uafadhali kwenye ndoa ni mwanamke.

Lakini pia inawezakuwa kwenye Circle yako ipo hivyo ulivyo sema nisikupinge ila jua tu ndoa ni jehanamu ndogo.
 
Back
Top Bottom