Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.
Pale sana kwa kuamini hivyoKuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
yaani ata waweke kwenye bia izo mambo sijui maniii no one can stop reg,
acha stress Yanga imefikaje apa ulilala unaiwaza ukiamka unaiwazaIla yanga ni timu mbovu kuwah kutokea hapa nchini kwa miaka ya hiv karibuni ukweli usemwe tu
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.
acha stress Yanga imefikaje apa ulilala unaiwaza ukiamka unaiwaza
sasa ulileta story za nn apanayo yanga au simba ndo timu za kuziwaza hayo ni matimu ya hovyo kuwah kutokea duniani tuache kushangalia wakina
barcelona
madrid
manchester united
uje kwa matimu ambayo yanashiriki mashindano ya kimataifa toka tuzaliwe hata fainali ya cuf hayajawah gusa
Mbaya zaidi hujui hayo matunda kalima nani na alitumia mbolea gani kustawisha. Wengine wanatumia kinyesi cha nguruwe, binadamu ng'ombe au mbuzi.Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH