Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]