Kuna ukweli wowote kuhusu redbull?

Kuna ukweli wowote kuhusu redbull?

Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH

Acha mihemko ya kidini
 
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Pale sana kwa kuamini hivyo

[emoji817]
 
Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Aisee you made my day.
 
Ila yanga ni timu mbovu kuwah kutokea hapa nchini kwa miaka ya hiv karibuni ukweli usemwe tu
acha stress Yanga imefikaje apa ulilala unaiwaza ukiamka unaiwaza
 
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.

Wanaokula utumbo...?. Una utani na watu mkuu ngoja wakuskie sjui miss chagga yupo humu.
 
acha stress Yanga imefikaje apa ulilala unaiwaza ukiamka unaiwaza

nayo yanga au simba ndo timu za kuziwaza hayo ni matimu ya hovyo kuwah kutokea duniani tuache kushangalia wakina

barcelona
madrid
manchester united

uje kwa matimu ambayo yanashiriki mashindano ya kimataifa toka tuzaliwe hata fainali ya cuf hayajawah gusa
 
sasa ulileta story za nn apa
 
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Mbaya zaidi hujui hayo matunda kalima nani na alitumia mbolea gani kustawisha. Wengine wanatumia kinyesi cha nguruwe, binadamu ng'ombe au mbuzi.
Yakivunywa hatujui mvunaji aliyatunza vipi? Kiufupi hatuwezi kukwepa uchafu
 
Back
Top Bottom