Kuna ukweli wowote kuwa baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Kuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi.

Kuna yeyote alishawai kutana na hichi karibu tushare..!
 
Kuamini mikosi ni uzwazwa.

Let's play dumb and assume mikosi Ipo, hiyo mikosi wanapata wanawake tu? Wanaume hawapati?

Kama ukilala nao unapata mikosi basi wapo wengine ukilala nao unapata Baraka. To every action there's an equal and opposite reaction. Unawajuaje?

Endelea kuchakata acha uzwazwa.
 
🤣🤣🤣🤣
 
[emoji16][emoji16]
 
Niligongana na mdada 24hrs ninae nimemficha,saa kumi mchana nikaweka Mkeka makamalia wanaojua...Aaasee nilipiga Millions 3 na laki sitaa na takatakaa!

Duh! Nilimpa laki akalee anachotaka huko aendakoo,Koo Ipo hiyoo...wengine utashaangaa ukitoka kumlaa tu simu za kukopwa pesa zinafululiza tu tena ambao Soo wakurudisha baba mkwe mfanooo.
 
Back
Top Bottom