bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ndo maana hataki kuoa we uoni ni laana hio.Acha uongo rafiki yangu hataki kuoa na ananunua malaya kaongezewa mkataba wa kazi na mshahara
Acha stori zako.
Laana sio umasikini pekee,ujaona mtu anahela lakini analaana