Kuna ukweli wowote kuwa baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

Kuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi.

Kuna yeyote alishawai kutana na hichi karibu tushare..!

Hata wanaume pia...
 
Tufanye nini kuepuka mikosi hii na utajuaje mwanamke fulani ana mkosi?
Kwa anaeamini na asieamini?
 
Laki? Ungempa hata asilimia 20 ya hiyo hela
 
Mungu akusamehe
 
Habari za jioni!

Moja kwa moja kwenye topic. Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka. Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati hata senti tano.

Toa mchango wako.
 
Habari za jioni!

Moja kwa moja kwenye topic.Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka.Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati hata senti tano.

Toa mchango wako.
Kufukuzwa kazi, kusitisha biashara baada ya kuchacha, kushushwa cheo, kufilisika ukwasi and vise versa is true.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kama mkosi na wenye mikosi hawapo/hakuna,kwa nini kuna neno mkosi?Tukipata jibu linalojitosheleza tutaanza kuufikia ukweli halisi.Mkosi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…