MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Jamani!![emoji1787][emoji1787]Muongo huyo, sadaka huwa zinaenda mbinguni sio vatican
Kuna percentage flani ndogo sana kila jimbo lina wajibu wakupeleka Vatican ilikuwa hasa miaka ya nyuma.Habari wana JF kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Leo kuna rafiki yangu mmoja nimemsikia akisema kuwa kuna sadaka wanazo changia kanisani (Kanisa Katoliki) zinaenda Vatikani. (Yeye ni mkatoliki)
Hili kwangu ndio kwanza nalisikia kwa huyu rafiki yangu, sikutaka kumbishia kwakua mimi sio Mkristo nikajisemea moyoni nitalifanyia kazi nipate uhakika wa hili.
Kama ni kweli inakuaje wao kwa utajili walionao baada ya kutusaidia sisi tuna wasaidia wao?
Aloooo [emoji1787][emoji1787]Muongo huyo, sadaka huwa zinaenda mbinguni sio vatican
Kuna jamaa mmoja alikuwa kwenye kitengo cha uhasibu kama sikosea, aliiba hera za huko vatican, ilibidi akodi ndege ili ajaze pesa, isingewezekana kutumia bankSasa kama kila nchi sadaka zinaenda Vatcan, hao jamaa wa Vatcan wanaweza kununua bara la Afrika wakiamua,fikiria kila wiki sadaka zinaenda vatcan, na sio sadaka za Tanzania tu Duniani kote walipo wa Roman catholic,kila wiki sadaka ziende Vatcan miaka yote,
kuna muvi kanumba alitoa,sadaka zilikusanywa makanisa yote kupelekwa vatcan saa mzee magari akaona sasa huo ni uzuzu akafanya mpango waibe zilepesa zisipelekwe vatican,..koment yako mkuu imenifanya nikumbuke hii muvi .r.i.p kanumbaIko hivi yaani sadaka huwa zinakusanywa kutoka vijijini ndani kabisa huko, makatekista wanazihesabia tena kwa kusimamiwa na watu zaidi ya mmoja, zinaandikwa kiasi halafu katekista anapeleka wilayani
Ikifika wilayani inapelekwa jimboni, yaani mkoani, hapo inapigwa hesabu yote ya mkoa mzima, halafu zinapelekwa makao makuu, hapa naamini wanaingiza bank, zikifika makao makuu sasa ndiyo zinachenjiwa kutoka Tshilingi kwenda Euro zinapelekwa Vatican, sijui kama huo utaratibu wameubadilisha kwa sasa
Kile sadaka imefanya ndio uenda mbinguni na Sio cashMuongo huyo, sadaka huwa zinaenda mbinguni sio vatican