Kanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.
Hakuna maana wala haja ya watu kujumuika ktk hayo makusanyiko ya kizushi mnayoyaita Makanisa, maana ktk biblia kanisa ni mtu na sio jengo na hakuna mahala mmeambiwa mfanye huu ujinga mnaoufanya makanisani.
Makanisa ni mipango na malengo ya wazungu wa Roma/vatican kucontrol jamii mbalimbali dunian pia hutumia sehemu ya mapato ya wanakanisa kujinufaisha ama kukuza uchumi wa Vatican na kutimiza malengo yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii dunian kwa kutimiza ajenda zao huko sirini.
Watu kama wangejua yaliyomo nyuma ya haya makanisa na malengo ya haya makanisa basi watu wangeamka wangeachana na huo ujinga badala yake wangekomaa kuongeza maarifa ya kiroho na kimwili nje ya uongo wa kidini.
Vatican wameiharibu sana dunina kwa mambo mengi, wameidanganya dunia na bado wanaendelea kuiharibu na kuidanganya dunia
Vipofu wa akili ni ngumu kutambua yaliyo nyuma ya hizo dini zenu za mchongo zinazowahubiria amani wakati ndizo zinazofadhiri maovu yote dunian kuanzia vita+ugaidi, mauwaji, magonjwa, uvunjifu wa mila na desturi, ushirikina, uzushi, uporwaji wa mali na mengineyo mengi ya hovyo yanaongozwa na hizo dini zenu mnazoziamini.
Amkeni fungueni akili.