bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Zinaenda Vatican ndio alafu Vatican wanakopesha viwanda vikubwa vya silaha Duniani kisha izo silaha zinarudi tena Africa panachimbika.
Sio pesa zote zinaenda Vatican ni kiasi kwa sababu Kanisa linashiriki shughuli za misaada Dunia nzima penye uhitaji wakati wa shida mfano vita,mafuriko nk kupitia mashirika ya misaada ya kimataifa ya Kikatoriki.Iko hivi yaani sadaka huwa zinakusanywa kutoka vijijini ndani kabisa huko, makatekista wanazihesabia tena kwa kusimamiwa na watu zaidi ya mmoja, zinaandikwa kiasi halafu katekista anapeleka wilayani
Ikifika wilayani inapelekwa jimboni, yaani mkoani, hapo inapigwa hesabu yote ya mkoa mzima, halafu zinapelekwa makao makuu, hapa naamini wanaingiza bank, zikifika makao makuu sasa ndiyo zinachenjiwa kutoka Tshilingi kwenda Euro zinapelekwa Vatican, sijui kama huo utaratibu wameubadilisha kwa sasa
Hizo pesa mara nyingi zinarudi huku huku Afrika, kuna baadhi ya jumapili sadaka za siku hiyo zinapelekwa Vatican.kuna muvi kanumba alitoa,sadaka zilikusanywa makanisa yote kupelekwa vatcan saa mzee magari akaona sasa huo ni uzuzu akafanya mpango waibe zilepesa zisipelekwe vatican,..koment yako mkuu imenifanya nikumbuke hii muvi .r.i.p kanumba
Hizi vita zinazopiganwa Africa kila uchwao wanatumia mishale?Waafrika gani wenye uwezo wa kununua silaha toka hivyo viwanda.Bei tu ya jet fighter ni bajet ya wizara.
Hakuna kanisa linalojengwa kwa sadaka, huwa kuna michango yake tofauti kabisa na sadakaSadaka zinatumika kwa Kuleta Maendeleo Mahali husika..!
Ndo maana unaweza Kuona Makanisa Yanajengwa kwa utukufu wa Mungu,ili jina Lake litukuzwe.
Wilayani ndiyo wapi huko?Iko hivi yaani sadaka huwa zinakusanywa kutoka vijijini ndani kabisa huko, makatekista wanazihesabia tena kwa kusimamiwa na watu zaidi ya mmoja, zinaandikwa kiasi halafu katekista anapeleka wilayani
Ikifika wilayani inapelekwa jimboni, yaani mkoani, hapo inapigwa hesabu yote ya mkoa mzima, halafu zinapelekwa makao makuu, hapa naamini wanaingiza bank, zikifika makao makuu sasa ndiyo zinachenjiwa kutoka Tshilingi kwenda Euro zinapelekwa Vatican, sijui kama huo utaratibu wameubadilisha kwa sasa
Buku buku unaiona ndogo, hata ingekua mia miaHizi buku buku zetu?
Kanisa lina vyanzo vingi sana vya mapato, kufikia sadaka zetu za jumapili sio leo.
Vyote Vinatumika Michango na Sadaka pia Kuleta Maendeleo Mahali husika.Hakuna kanisa linalojengwa kwa sadaka, huwa kuna michango yake tofauti kabisa na sadaka
Kanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.Vyote Vinatumika Michango na Sadaka pia Kuleta Maendeleo Mahali husika.
Katoliki huwezi kuona 'eti' Mchungaji anamiliki Bangaloo halafu Kanisa ni la Mabati na Viti vya Plastiki au Uwanja wa Wazi...
Mungu ni Vizuri apewe utukufu kwa kumjengea Kanisa Zuri la kumuabudu.
Ili wewe Ufunguke uache kuibiwa na Wachungaji mchongo wanajenga mabangaloo yao wakati Kanisa ni 'Mabati' na Viti 'Plastiki'... miaka nenda Miaka rudi.Kanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.
Hakuna maana wala haja ya watu kujumuika ktk hayo makusanyiko ya kizushi mnayoyaita Makanisa, maana ktk biblia kanisa ni mtu na sio jengo na hakuna mahala mmeambiwa mfanye huu ujinga mnaoufanya makanisani.
Makanisa ni mipango na malengo ya wazungu wa Roma/vatican kucontrol jamii mbalimbali dunian pia hutumia sehemu ya mapato ya wanakanisa kujinufaisha ama kukuza uchumi wa Vatican na kutimiza malengo yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii dunian kwa kutimiza ajenda zao huko sirini.
Watu kama wangejua yaliyomo nyuma ya haya makanisa na malengo ya haya makanisa basi watu wangeamka wangeachana na huo ujinga badala yake wangekomaa kuongeza maarifa ya kiroho na kimwili nje ya uongo wa kidini.
Vatican wameiharibu sana dunina kwa mambo mengi, wameidanganya dunia na bado wanaendelea kuiharibu na kuidanganya dunia
Vipofu wa akili ni ngumu kutambua yaliyo nyuma ya hizo dini zenu za mchongo zinazowahubiria amani wakati ndizo zinazofadhiri maovu yote dunian kuanzia vita+ugaidi, mauwaji, magonjwa, uvunjifu wa mila na desturi, ushirikina, uzushi, uporwaji wa mali na mengineyo mengi ya hovyo yanaongozwa na hizo dini zenu mnazoziamini.
Amkeni fungueni akili.
Makusanyo ya hayo pesa data zake zipo, na hata matumizi yake yapo, haibiwi mtu, kwanza wanufaika wakubwa ni waafrika maana sisi ndio tunaongoza kuomba hizo pesa katika shughuli mbalimbali za kikanisaKanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.
Hakuna maana wala haja ya watu kujumuika ktk hayo makusanyiko ya kizushi mnayoyaita Makanisa, maana ktk biblia kanisa ni mtu na sio jengo na hakuna mahala mmeambiwa mfanye huu ujinga mnaoufanya makanisani.
Makanisa ni mipango na malengo ya wazungu wa Roma/vatican kucontrol jamii mbalimbali dunian pia hutumia sehemu ya mapato ya wanakanisa kujinufaisha ama kukuza uchumi wa Vatican na kutimiza malengo yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii dunian kwa kutimiza ajenda zao huko sirini.
Watu kama wangejua yaliyomo nyuma ya haya makanisa na malengo ya haya makanisa basi watu wangeamka wangeachana na huo ujinga badala yake wangekomaa kuongeza maarifa ya kiroho na kimwili nje ya uongo wa kidini.
Vatican wameiharibu sana dunina kwa mambo mengi, wameidanganya dunia na bado wanaendelea kuiharibu na kuidanganya dunia
Vipofu wa akili ni ngumu kutambua yaliyo nyuma ya hizo dini zenu za mchongo zinazowahubiria amani wakati ndizo zinazofadhiri maovu yote dunian kuanzia vita+ugaidi, mauwaji, magonjwa, uvunjifu wa mila na desturi, ushirikina, uzushi, uporwaji wa mali na mengineyo mengi ya hovyo yanaongozwa na hizo dini zenu mnazoziamini.
Amkeni fungueni akili.
Sasa hizo silaha used Tena nyingi za vita vya pili vya Dunia, mwafrika gani anaweza nunua silaha latestHizi vita zinazopiganwa Africa kila uchwao wanatumia mishale?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kuna muvi kanumba alitoa,sadaka zilikusanywa makanisa yote kupelekwa vatcan saa mzee magari akaona sasa huo ni uzuzu akafanya mpango waibe zilepesa zisipelekwe vatican,..koment yako mkuu imenifanya nikumbuke hii muvi .r.i.p kanumba
Kuna tofauti gani ndugu kati ya KANISA na WAUMINI?Kanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.
Hakuna maana wala haja ya watu kujumuika ktk hayo makusanyiko ya kizushi mnayoyaita Makanisa, maana ktk biblia kanisa ni mtu na sio jengo na hakuna mahala mmeambiwa mfanye huu ujinga mnaoufanya makanisani.
Makanisa ni mipango na malengo ya wazungu wa Roma/vatican kucontrol jamii mbalimbali dunian pia hutumia sehemu ya mapato ya wanakanisa kujinufaisha ama kukuza uchumi wa Vatican na kutimiza malengo yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii dunian kwa kutimiza ajenda zao huko sirini.
Watu kama wangejua yaliyomo nyuma ya haya makanisa na malengo ya haya makanisa basi watu wangeamka wangeachana na huo ujinga badala yake wangekomaa kuongeza maarifa ya kiroho na kimwili nje ya uongo wa kidini.
Vatican wameiharibu sana dunina kwa mambo mengi, wameidanganya dunia na bado wanaendelea kuiharibu na kuidanganya dunia
Vipofu wa akili ni ngumu kutambua yaliyo nyuma ya hizo dini zenu za mchongo zinazowahubiria amani wakati ndizo zinazofadhiri maovu yote dunian kuanzia vita+ugaidi, mauwaji, magonjwa, uvunjifu wa mila na desturi, ushirikina, uzushi, uporwaji wa mali na mengineyo mengi ya hovyo yanaongozwa na hizo dini zenu mnazoziamini.
Amkeni fungueni akili.
Kazia hapo hapo.Ili wewe Ufunguke uache kuibiwa na Wachungaji mchongo wanajenga mabangaloo yao wakati Kanisa ni 'Mabati' na Viti 'Plastiki'... miaka nenda Miaka rudi.
Soma Hagai 1 : 8
"Pandeni milimani mkalete miti,mkaijenge nyumba,nami nitaifurahia,nami NITATUKUZWA,asema Bwana"...!
maana ya neno KANISAKanisa sio Jengo kanisa ni wew mwanadamu sijui kwanini hao wahuni wenu walibadiri maana ya hili Neno ili kuwaibia.