Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

Ndio maana wanasema the richest person ni papa sio Elon musk
 
Unawezaje kumuabudu Mungu kwenye mavumbi na mabati wakati una uwezo wa kujenga sehemu nzuri?
 
Inawezekana maana sijawahi kusikia kama vatican wana lima, kuchimba mafuta wala kuwa na viwanda. Hawajishughulishi na shughuli yoyote ya uzalishaji/kiuchumi so its obvious wanaishi kwa pesa zinazotoka makanisani kote ulimwenguni
 
Inawezekana maana sijawahi kusikia kama vatican wana lima, kuchimba mafuta wala kuwa na viwanda. Hawajishughulishi na shughuli yoyote ya uzalishaji/kiuchumi so its obvious wanaishi kwa pesa zinazotoka makanisani kote ulimwenguni
Basi jamaa wajanja sana
 
Basi Roman ni matajiri.
- wanajenga makanisa ambayo si mali ya mchungani,
-wanajenga hospitali zinazotibu dini zote, ---wana mashirika kama Caritas yanatoa misaada ya maafa kwa dini zote,
-wanaendesha vituo vya yatima na wazee
-wanajenga mashule yanayoendeshwa na masister na wanasoma watu wa dini zote ---waumini wakija kusali wanakuja wamevaa vizuri pamoja na familia zao
-pesa nyingine wanapeleka vatican

**Kwa hiyo hayo madhehebu ambayo hayapeleki sehemu yoyote wanajivunia nini?
 
Huu uvumi ni sawa na ule wanaosemaga jamaa wa visuruali vifupi hua wanakamua mavi na maji ya kuoshea maiti ndo wanakorogea uji waombolezaji wanakunywa kwenye misiba ya waislam.
 
Kimbukeni kuwa population Yao Ni watu 800 tuu SEMA imani ya watu hii Ni kama waislamu na Makkah Pesa wanazopeleka Kule Ni kufuru[emoji28][emoji28][emoji28] kwenda kumpiga jiwe shetani

Biblia ilisema Dini ya kweli Ni Ile inayowajali wajane na yatima ndio maana wayahudi wanaendelea
 
SUBIR NIWAPE UKWL
SADAKA Katoliki kuna ile Sadam ya kwanza na sadaka ya pili

Sadaka ya kwanza yote inapelekwa jimbo kuu husika wa sadaka ya pili inabaki kanisani kwa ajili ya ishu ndogo ndogo

Mwaka wa kanisani bila kukosea unaanza mwez wa sita Kuna fungu Yani bajeti (hela) zinatoka jimbo kuja parokiani Yani matumizi ya mwaka mzima hela inawekwa kweny acc ya parokia ivyo usitegemee kuona kanisa katoliki kinatikisika ki uchumi
 
Zile sadaka ambazo hutolewa,huenda kufanya shughuli mbalimbali kwa jamii,hata zikienda Vatican,kwani kanisa katoliki lipo popote duniani na hufanya huduma zake popote.
R.I.P father Gilbert Mwanandota,aliyekua paroko wa Ulumi.
 
Kwahiyo Vatikani haziendi
 
Dini wametuletea sawa na vijisente vyetu navyo wanataka? Hii ni biashara
 
nenda kamwulize Pengo siyo kila kitu cha kuleta humu, JF siyo shimo la taka
 
Huu ni uongo mtakatifu....
 
Ni sadaka ya ijumaa kuu peke yake ndio huwa inakusanywa na kupelekwa vatican na huwa inatangazwa sio ya kila jumapili. Sadaka za kila wiki zinakuwa za matumizi ya jimboni husika na ndio maana kila mwaka huwa yanasomwa mapato na matumizi ya sadaka kanisani. Kwahiyo kwa mwaka mara moja tuu sadaka inaenda Vatican.
 
Hiyo Avatar yako sasa imenivuruga MENERIKI II
 
Siyo kweli,Hakuna msikiti unaokusanya hela kupeleka maka,kwanza hatuna utaratibu wa kushea sadaka za msikiti zinatumika msikitini hapohapo hata bakwata ya wilaya hazifiki[emoji2]
Si wilaya hata kwenye kata tu hazifiki,, zinaishia hapo hapo kwa matumizi ya hapo hapo,, taasisi yoyote au mtu binafsi endapo kama atataka msaada achangiwe basi yeye mwenyewe atakuwepo siku hiyo waumini watamchangia na atakabhiwa sadaka yake hapo hapo yani hakuna sijui ipitie mkoani wala wilayani
 
ni kuzuga tu sadaka zaenda Vatican bora mtoe kwa mzee Wa upako kama nitapata muda nitawaeleza lengo LA wamisionari kuingia Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…