Kuna ukweli wowote

Teh teh teh nilichokuwa nakitaka nimekipataaa
 
Huyu jirani yangu katekwa na mapenz tufanye kamsaada tukamuokoe jaman hali yake inazd kuwa mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wee nishamuonaa dk 2 hizi
 
That's greating, just hi. Haujambo. Darasani ulinikimbia.

Yaani mimi hadi natokwa na ukungu kichwani. Haya niambie
[emoji124] [emoji124]
 
Yaani anadiscuss viungo vya kiume kweli? Njoo uniolee hili litoto nimelichoka
Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…