BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Kwani nimepindaa
I can't believe umeanzishiwa mada. Umemsamehe sasa! Daby sio wako siku hizi tena anakuchukia kama niniKuamini nini tena my Daby?
Mmh.... naona unanikwepa. Haya tuongee ya mada. Vipi ina ukweli wowote kwako?Sidhani. . .nahisi ni mbali
Hivi kutoka A hadi naniliu si ni mbali sana?
Aaah sana alafu walinitaiti pabaya kweli hiyo siku nilikuwa free kweli moyoni najisemea Jf Leo itanikomaaa wacha niingie bhanaa naona vitu tofauti sasa nilikuwa sijui km nimepigwa Ban nikaanza kuhangaika nikahisi simu inatatizo nikamcheki michael whatssp nikamwambia akanambia ooohhooo una ban weeee nilichokaaaaNi kweli uume nao unachoka[emoji23]
Naona umekua muoga wa ban
Nafikiri ina ukweliMmh.... naona unanikwepa. Haya tuongee ya mada. Vipi ina ukweli wowote kwako?
Nyoooo ban wenyewe nimepigwa ya siku mojaa iloooo
HahaNafikiri ina ukweli
Kimasai vipi sasa
Maana ndugu wakaribu walianza kupatwa na taharuki ya hapa na pale.Nipo mkuu. Majukumu tu
karibu pm.Ni kweli akiwa amechoka huwa haisimami kabisa
Nimependa NOTE yako [emoji23]
Nakitamani kweli yaniHaha
Unakitaka! Tatizo lako unakimbia darasa na hauhudhurii.
Thank you mchumba . . .m comingkaribu pm.
Upo ok lakini na wewe.Maana ndugu wakaribu walianza kupatwa na taharuki ya hapa na pale.
Basi njoo Pm[emoji23] [emoji23]Nasauti ya base kunong'oneza siwezi [emoji85]