Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Ni kweli uume nao unachoka[emoji23]

Naona umekua muoga wa ban
Aaah sana alafu walinitaiti pabaya kweli hiyo siku nilikuwa free kweli moyoni najisemea Jf Leo itanikomaaa wacha niingie bhanaa naona vitu tofauti sasa nilikuwa sijui km nimepigwa Ban nikaanza kuhangaika nikahisi simu inatatizo nikamcheki michael whatssp nikamwambia akanambia ooohhooo una ban weeee nilichokaaaa
 
Back
Top Bottom