Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Dunia imebadirika amini tu.Sitaki kuamini.
Usiku nitaanza kuwa available kuanzia saa 4. Tatizo wewe sijui unahudumia ndoaNakitamani kweli yani
Darasa linakuwa gumu kidogo kwasababu we both kinda bizzy siku hizi
Nipo njema kabisa na majukumu ya kila leo.Upo ok lakini na wewe.
Hewaala. Basi tuzidi kupungiana na hawa watoto ukipata kamoja kazan haswa maana unatuwakilisha wanaume wote.Nipo njema kabisa na majukumu ya kila leo.
Dunia imebadirika amini tu.
HahahhhUsiku nitaanza kuwa available kuanzia saa 4. Tatizo wewe sijui unahudumia ndoa
Haya.Hahahhh
Em tuisubiri saa nne ifike
Daby em usinikoseshe fursa puliiz[emoji28] [emoji28]Haya.
Muage hubby basi kabisa
Kwa jimbo lipo wazi? Sitaki kuamini kweli na uzuri wote huo kweli?Daby em usinikoseshe fursa puliiz[emoji28] [emoji28]
What hubby sasa
Ha haa Daby akinichukia najinyonga kabisaI can't believe umeanzishiwa mada. Umemsamehe sasa! Daby sio wako siku hizi tena anakuchukia kama nini
Kweli kabisa na hivi tupo wachache sana huwa siangushi mashabiki.Hewaala. Basi tuzidi kupungiana na hawa watoto ukipata kamoja kazan haswa maana unatuwakilisha wanaume wote.
Umeamini?Naona kila Siku unanisogeza sogeza kwenye undugu Leo nishakuwa tena Jirani yak???
Mi mpaka nili unstall jf naku install upya nikidhani network ha haa tumtafute yule mod alietubanika tumkate mtamaAaah sana alafu walinitaiti pabaya kweli hiyo siku nilikuwa free kweli moyoni najisemea Jf Leo itanikomaaa wacha niingie bhanaa naona vitu tofauti sasa nilikuwa sijui km nimepigwa Ban nikaanza kuhangaika nikahisi simu inatatizo nikamcheki michael whatssp nikamwambia akanambia ooohhooo una ban weeee nilichokaaaa
Jimbo halipo wazi . . .yani unajaribu kunizibia fursa na unafanya uchochezi hapa hapa?Kwa jimbo lipo wazi? Sitaki kuamini kweli na uzuri wote huo kweli?
TehJimbo halipo wazi . . .yani unajaribu kunizibia fursa na unafanya uchochezi hapa hapa?
Sasa tuongelee mada ya jovitha kuhusu kugoma kusimama
Hivi we ishawahi kukugomea kusimama sababu ya uchovu?
Kwani wewe V unampenda Daby from your left auricle?Ha haa Daby akinichukia najinyonga kabisa
Nimemsamehe nani?
Wahi kabla sijatoka....Thank you mchumba . . .m coming
Wahi kabla sijatoka Mpenz....Thank you mchumba . . .m coming