Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Nakitamani kweli yani
Darasa linakuwa gumu kidogo kwasababu we both kinda bizzy siku hizi
Usiku nitaanza kuwa available kuanzia saa 4. Tatizo wewe sijui unahudumia ndoa
 
Aaah sana alafu walinitaiti pabaya kweli hiyo siku nilikuwa free kweli moyoni najisemea Jf Leo itanikomaaa wacha niingie bhanaa naona vitu tofauti sasa nilikuwa sijui km nimepigwa Ban nikaanza kuhangaika nikahisi simu inatatizo nikamcheki michael whatssp nikamwambia akanambia ooohhooo una ban weeee nilichokaaaa
Mi mpaka nili unstall jf naku install upya nikidhani network ha haa tumtafute yule mod alietubanika tumkate mtama
 
Kwa jimbo lipo wazi? Sitaki kuamini kweli na uzuri wote huo kweli?
Jimbo halipo wazi . . .yani unajaribu kunizibia fursa na unafanya uchochezi hapa hapa?

Sasa tuongelee mada ya jovitha kuhusu kugoma kusimama
Hivi we ishawahi kukugomea kusimama sababu ya uchovu?
 
Jimbo halipo wazi . . .yani unajaribu kunizibia fursa na unafanya uchochezi hapa hapa?

Sasa tuongelee mada ya jovitha kuhusu kugoma kusimama
Hivi we ishawahi kukugomea kusimama sababu ya uchovu?
Teh
Mnamaswali ya mitego nyie.

Haijawahi ila kawaida mwanaume kama umechoka mwili au akili performance itakuwa ni ndogo kuliko kawaida
 
Ili uume Usimame Unahitaji kuwepo Kwa Mzunguko Mzuri wa Damu Kam Mtu Umechoka Sana Inakuwa Kero Subiri Kesho Au cku Nyingine
 
Back
Top Bottom