Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Hata nichoke vipi, lakini Inkosikazi yangu lazima iwe kazini.

Ila kuna ukweli pia kama umeathirika kisaikolojia unaweza usipate hamu hata kidogo ila ni kwa asilimia chache sana, kwasababu tendo pia ni njia nzuri ya kumuweka sawa mtu wa hivyo.
 
Mapenzi hufanyika kwa uwepo wa mahusiano thabiti kati ya mwili(nguvu) na akili iliyo huru(ubongo).
Kitendo cha kuchoka kwa mwili kwa namna yoyote ile hupunguza au kuua kabisa mahusiano(hisia) kati ya ubongo na mwili.
Kwa mapenzi bora na ya furaha ni vema akili na mwili vikawa timamu huru ili kuruhusu uzalishaji mzuri wa homoni mwilini.
 
Wewe huwa ukichoka saana huwa jogoo hawiki????[emoji124]
Binafsi noop!
Unajua kuna tofauti between jogoo kutokuwika na weak erection,mtu anapokuwa amechoka sana hasa akilini anaweza akaweza kugegeda lakini tegemea kuwa atakuwa dhaifu kidogo compared na akiwa yuko vizuri mentally.
Sasa ka huyo wako jogoo hawiki kabisa halafu anakwambia ni kwasababu amechoka sio kweli kabisa kuna jambo lingine either hapati msisimko au hawezi kabisa.
 
Lakini ' Mbunye ' ilivyoumbwa si hata ' Ndoo ' ya lita ' Gwala / Tano ' inaweza tu ikatiririka na kuserereka bila matatizo?
Nani kakudanganyaaa acheni kukariri
 
Hata nichoke vipi, lakini Inkosikazi yangu lazima iwe kazini.

Ila kuna ukweli pia kama umeathirika kisaikolojia unaweza usipate hamu hata kidogo ila ni kwa asilimia chache sana, kwasababu tendo pia ni njia nzuri ya kumuweka sawa mtu wa hivyo.
Aaaa kumbeeee
 
Me sidhani nahc akichoka ndo anazd kutaka mchezo. Nilipokua na mume wangu alikua akichoka sku iyo ndo mchezo mpk morning anasema anarelax , so may be inategemea ntu na ntu.

Kama ana alikuwa anarelax sio kuchoka,means alikuwa na stress huyo..., baadhi yetu stress hutufanya kuwa na high performance uhitaji wa hali ya juu ili kuweza relax [emoji4]
 
Now upo single hii fursa
naona Nimeokota boga chini ya mchungwa.
Sijui mwenye nalo kalisahau. (Michaelray)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] KBS nakule ushatoa ofa ya wine mambo mubashara kabisaaa[emoji125]
 
Back
Top Bottom