Hahhaha kuna cha kujibu mtu ameshakukimbia simu ukipiga umeshakula block ukienda WhatsApp umekula block hapo kichwa kinakuuma tu kila mda unachungulia chit chat au mmu kama kuna bandiko lakoHahaha
Hivi hapo unajibu nini
Usinifanyie hivyo aki, venye nakupenda hujui tuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo huwa surprise nikupe taarifa ujiandae hiyo hujui saa wala siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinifanyie hivyo aki, venye nakupenda hujui tuu!!
HahahaHahhaha kuna cha kujibu mtu ameshakukimbia simu ukipiga umeshakula block ukienda WhatsApp umekula block hapo kichwa kinakuuma tu kila mda unachungulia chit chat au mmu kama kuna bandiko lako
Aki vile penda wewe jamani!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo kama hata kwa picha hamjuani kila mtu anamvizia mwenzakeHahaha
Kumbe eeeh
Naomba mahela basi niamini kama kweli uko unanipenda mmAki vile penda wewe jamani!!!
Mashahidi wanajua!!
Hello Shunie,Hahhaha kuna cha kujibu mtu ameshakukimbia simu ukipiga umeshakula block ukienda WhatsApp umekula block hapo kichwa kinakuuma tu kila mda unachungulia chit chat au mmu kama kuna bandiko lako
Yupo mbona culture gal atakutafuta tu akiona post yakoHello Shunie,
Have you seen my dada Emmyta??
Been a long time sijamuona kwa kweli.
Sawa, ngoja nimsubiri.Yupo mbona culture gal atakutafuta tu akiona post yako
Sawa dearSawa, ngoja nimsubiri.
hawajafika badoNgoja waje
salam dadaHahahaaa. Umeonaeeee.
Unadhani utaambiwa lugha gani uamini maneno ya mleta uzi.
Hahah!!hawajafika bado
miss uHahah!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Miss you Dada yangu...salam dada
Ukiumia shauri yako...Hahah!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]