Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Kwakweli ata mimi natamani kufika huko [emoji23]Hapa kuna ulazima wa kuunda group la family....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli ata mimi natamani kufika huko [emoji23]Hapa kuna ulazima wa kuunda group la family....
Basi mimi natengwa sanaKwa majaliwa mbona kawaida tu
Baada ya kikao cha familia ndio agenda ya kuunda gurupu itapitishwa na hatimaye kufanyiwa utekelezajiKwakweli ata mimi natamani kufika huko [emoji23]
hamn mdogo wangu nimerudi rasmi usijal siungekuja kule basiiiNimechungulia inbox nimeambiwa last seen jana.
Naona hadi mtandao unanifanyia figisu ili nisiwasiliane Dada yangu.
Mmmhhh.Basi mimi natengwa sana
Ewaaaaaa. Sababu mpaka nimepata shaka miee nasema nani kakubana kiasi hicho?siadimiki tena namiahidi familia yangu
Aya Allah afanye wepesiBaada ya kikao cha familia ndio agenda ya kuunda gurupu itapitishwa na hatimaye kufanyiwa utekelezaji
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 dada bwanaAmeadimika kwani wewe hakuja kwajo na nguo yake nyingine?
Hahahaaaa. Nimekumbuka lile baibui ndio alikuja nalo kwangu.Ameadimika kwani wewe hakuja kwajo na nguo yake nyingine?
umeongea point mdog wanguHapa kuna ulazima wa kuunda group la family....
Kabla ya kukuona huku nilikuwa kule nikakutana na ujumbe kuwa ulikuwepo jana hewani ndio nikaamua kuja huku kuzurura hatimaye nikakuona hapahamn mdogo wangu nimerudi rasmi usijal siungekuja kule basiii
usijal mwifwa atafanya mamboKwakweli ata mimi natamani kufika huko [emoji23]
khaaa Davet sikuja kwako jana mdog wanguBasi mimi natengwa sana
Aya punguza kumlaumu dada na mjadala wa nguo yake tuuacheHahahaaaa. Nimekumbuka lile baibui ndio alikuja nalo kwangu.
Uzee huu. [emoji85]
AmiinAya Allah afanye wepesi
nyie ndio vichwa vya family kaka zetuBaada ya kikao cha familia ndio agenda ya kuunda gurupu itapitishwa na hatimaye kufanyiwa utekelezaji
Huyo Mwifwa mzito sana jamaniusijal mwifwa atafanya mambo
si kweli nilienda kwake mbon huyu mtu au hatukuonan juzi davet nilivaa baibui na mtandio wa pinkMmmhhh.
Ngoja nisubirie majibu kwa wanafamily kama hizi tuhuma ni za kweli
Na hizi point lazima niukwee Uenyekiti wa Kamati ya familia kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]umeongea point mdog wangu