hahahha jamn dada usinifurahisheEwaaaaaa. Sababu mpaka nimepata shaka miee nasema nani kakubana kiasi hicho?
Inshaallah kaka zetuAya Allah afanye wepesi
Hapo sawausijal mwifwa atafanya mambo
nilienda nalo hd kwa kaka davetHahahaaaa. Nimekumbuka lile baibui ndio alikuja nalo kwangu.
Uzee huu. [emoji85]
Umeona eeehhhnyie ndio vichwa vya family kaka zetu
Hahah nilikua namtania tusi kweli nilienda kwake mbon huyu mtu au hatukuonan juzi davet nilivaa baibui na mtandio wa pink
ooooh aaah dunia tu mdog wanguKabla ya kukuona huku nilikuwa kule nikakutana na ujumbe kuwa ulikuwepo jana hewani ndio nikaamua kuja huku kuzurura hatimaye nikakuona hapa
Mmmhhh, nina kilo ngapi kwani?Huyo Mwifwa mzito sana jamani
bas kazi kwako kaka DavetHuyo Mwifwa mzito sana jamani
Kumbe anadanganya eehh[emoji23] [emoji23]si kweli nilienda kwake mbon huyu mtu au hatukuonan juzi davet nilivaa baibui na mtandio wa pink
hahahaha fanya mambo davet kashaanza kusema utachelewa kama ikiwezekan leo leo mamb yawe motNa hizi point lazima niukwee Uenyekiti wa Kamati ya familia kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukikua utaachaHabari wakuu wenzangu..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Mi binafsi sioni faida wala ufahari kisa nimependwa na mdada kutoka kwenye mtandao huu.
Ishu ni kwamba hawa viumbe waliomo humu ni wale wale ambao tunakutana nao mitaani, kwenye ndege, boats, mabasi na hata kwenye mabaa.
Iweje uhangaike na kivuli humu, mi nna imani tayari nilishamla mrembo humu ila sijui I'd yake humu maana sikutaka kujua hilo, lengo sio kujua anatumia I'd gani lengo ni sebene tu basi.
Nasema hivi kwa kuwa nilichungulia sim yake nikakuta app ya jf na mimi nikasema sijitambulishi kwamba ni mmoja wapo kwenye mtandao.
Mara nyingi unakuta wanajisifu humu utafikiri hawaendi msalani kumbe ni tofauti kabisa, wa ovyo sana baadhi yao mikucha utafikiri shumileta.
Leo niishie hapo maana naweza kufukua makuburi nikapibwa ban.
Povu linaruhusiwa.
Unapenda uongozi ila usiwe jiwe tuNa hizi point lazima niukwee Uenyekiti wa Kamati ya familia kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!!Mmmhhh, nina kilo ngapi kwani?
Dunia kubwa huiwezi Dada yanguooooh aaah dunia tu mdog wangu
Wapi tena?uwiiiiii davet nisamehe mdogo wangu kun pahal nilikosea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha fanya mambo davet kashaanza kusema utachelewa kama ikiwezekan leo leo mamb yawe mot