Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Nimekumbuka kuna member alianzisha mada humu eti wanawake wa jf ni wa kawaida sana, Miss Natafuta alinichekesha eti "ndio ni wa kawaida,au ulidhani wana mapembe?"

Sijui huwa wanatuchukuliaje hawa viumbe aisee!!!
Tatizo lao hua wanachukulia kwamba ni wanawake ambao ni warembo kiasi kwamba sio rahisi kuwapata kwenye hii sayari tuliopo labda mpka sayari zingine huko,kumbe ni hao hao wanaokutana nao mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…