Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sijui maisha yako ya mtaani yalivyo una fix weweUnacheka nini hahaha. Nampanga mtu tulia ww
Ngoja waje watuambieMi mwenyewe huwa siwaelewagi wale wenye ID za kiume, kuwashobokea na kujibebisha hasa kwenye thredi za kike, ili waonekane wanajua ku care, wapate papuchi za bure.
Dawa yake ni kunitafutia CAG tuUongozi situlishakupa wewe na tukakuambia ila usiwe jiwe
rudi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kabisa yaanMimi niliwaambia
nimemuona hahahaUnamuona? Unamuona anacheka?
tumeshakupa ruksaNimewaambia tuitishe kikao ili mnipitishe niwe kiongozi mmekataa
umeonaeeeUongozi situlishakupa wewe na tukakuambia ila usiwe jiwe
Nipo haparudi hapa
Yaani wale wale tunaoishi nao, mwingine unaweza kuta dada yako au mke maana wote mnajificha kichakaniNadhan tupo tofauti sana wanaume maana Mimi kama Mimi sijawahi kufikiria wanawake wa mtandao fulani ni tofauti sana maana ni walewale wa kwenye Jamii yetu ila mitandao ndo inatofautiana kwa hadhi na mwanamke anaweza kujiunga mitandao yote kwa madhumuni tofauti tofauti lakini yeye anabaki kuwa yeye.
Sawatumeshakupa ruksa
Itakuwa wanatoka Jupiter yani utafikiri jf ni ulimwengu mwingine kabisaKwani hao dada zao si wakawaida tu hawamo humu? Au dada zao wanatoka sayari nyingine
sawa tunasubirSawa
Sasa natunga katiba ya kuniweka madarakani kwa muda wa kudumu
Nitawasomea kwenye kikaosawa tunasubir
Utakuta mtu anatukana matusi utazani yeye sijui alitoka wapi ila stah huwa nzuri sanaItakuwa wanatoka Jupiter yani utafikiri jf ni ulimwengu mwingine kabisa
Hahah!! Polepole atakuteteaDawa yake ni kunitafutia CAG tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Polepole atakutetea
Hahahaaa. Itakuwa hizi Avatar labda hivyo wanajua ndio tupo hivyo hivyo.Nimekumbuka kuna member alianzisha mada humu eti wanawake wa jf ni wa kawaida sana, Miss Natafuta alinichekesha eti "ndio ni wa kawaida,au ulidhani wana mapembe?"
Sijui huwa wanatuchukuliaje hawa viumbe aisee!!!