Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Chungu lkn nitainywa nitafutie dada tukamilishe mzunguluko basi
 
Ila ww uko poa sana
Im sure hata ww unakitambua. Angekuwa mdada mwingine nimtolew macho hivi lazima ningeambulia matusi.
Najua hutaki kuja kwa sababu namba yako ninayo tayari.
Ulinipa kwa ile id yako za zamani ndio maana nikakomaa na ww nilitaka kujua kuwa ndo wewe.
Nakucheki whatsapp babe tupashe kiporo my love hot cake
 
Mh hii ndo ID yangu ya kwanza humu labda km umenichanganya na kale kademu kako
 
Mh sijawahi kumaliza muda wote huo labda nijaribu na sijui km itawezwkana labda nisubiri uzeeni halafu ntakujibu sasa swali lako
Sasa utajaribuje? Kutongoza?.
E bwana ee ngoja nikuache bwana. Usije ukanipa papuchi bure wakati mi sitaki za JF.
Ila ww nishakupeleka kibla zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…