Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio na miandiko yaoRaha unayoipata ukitembea na Msichana Mtaan ni sawa na huku sema tu huku Mnakua mnapenda Avatar zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio na miandiko yaoRaha unayoipata ukitembea na Msichana Mtaan ni sawa na huku sema tu huku Mnakua mnapenda Avatar zaid
Shunie..Wakina nani hao
Upoooooooh?Wakina nani hao
Hahahaaa. LolKweli tena Hajar. Unajua hata chakula kikinoga sana huwa kuna miguno
Hahahahaaaaa
Usalama upo lkn? Niko poa mimi
Nilikuwa hovyo hovyo ila nilipopata tu majibu ya sms(comment) zako naregain najiskia poa saaaanaa rafikiHahahaaa. Lol
Usalama upo rafiki namshukuru Mwenyezi Mungu. Nafurahi kusikia na wewe uko poa. Mambo mengine niaje?
haswaaaHahaaaa. Umeonaeee.
Mmh!Hahahaa. Nimecheka sana.
Pia niseme kuna ambao wamekufa na kuozeana humu na hawawezi kukuelewa hata kidogo.
WapendwajiWakina nani hao
Hahahaa. Naomba niupokee mguno pasi kutia neno kwa heshima yako rafiki.Mmh!
Abeeh shikamooShunie..
Nipoooo mbalizi nimekuhamu tu mmUpoooooooh?
He heWapendwaji
Hahah!!!He he
Nipo hapa mimiNipoooo mbalizi nimekuhamu tu mm
Ni nini jamaniHahah!!!
Nani alikuteka lakini jana dada angu alikuwa anakutafutaNipo hapa mimi
Hahahaaa. Wacha Weee.Nilikuwa hovyo hovyo ila nilipopata tu majibu ya sms(comment) zako naregain najiskia poa saaaanaa rafiki
Hahahhahaa