Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo kama hata kwa picha hamjuani kila mtu anamvizia mwenzake
Hahaha
Hiyo mbinu sio rafiki aki, bora kusema ukweli tuu
 
humu ndani watoto wapo bhanaa....tena wakali...
mi kuna mmoja nilipanda nae kwnye daladala...sasa ile zungusha macho nkakuta yupo ndani ya jf...ile bumbap gafla nkaona jina lake....aaaahh ni kisuuu yan....na humu anachangia mada kinoma....mtoto mzur sana aisee.....

We nanilii mi nakufaham kabisa aisee...hongera kwa udhurii[emoji16]
Nani huyoo[emoji23] mtaje plz
 
Back
Top Bottom