The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Maza ni mpenda sifa vibaya snUmeshawahi kusikia kuwa Kenyatta alimkejeli Nyerere kuwa alikuwa akiongoza mauti? Inawezekana bado kuna viongozi ambao wanaakisi kile ambacho kilimfanya Kenyatta amsimange Nyerere.
Kwa exposure aliyo nayo, sikutarajia kuwa na mama Samia naye angeridhia sifa za kinafiki kutoka kwa machawa, eti Rais katika bilioni tano wakati hata mshahara wake haufiki milioni mia mbili kwa mwezi.
Kodi zetu zimegeuzwa fedha za mama Samia? Nina mashaka na uwezo wa kufikiri wa wanasiasa wetu.
Rais ni mtumishi wa umma. Akifanya vizuri apongezwe na siyo kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Umekuwa ni ugonjwa mkubwa snHuo mpuuzi ulianza awamu ya 5 ya "Mtakatifu" JIWE..naona na hawa ni copy n paste kwa kasi ya 5G..UPUUZI
Majangili yanamsifia huku yanapiga pesaHili na Mimi nilishawaza sana....yaani ...ndio maana sitaki ......
Jamani, wakati ule wakenya ndiyo walikuwa wamelala, ndiyo maana Mzee Kenyatta alijichukulia ardhi karibia yote ya Kenya ikawa yake binafsi na familia yake. Sasa jiulizeni nani alikuwa anaomgoza mizoga kama hapo kama mnavyofanywa leoUmeshawahi kusikia kuwa Kenyatta alimkejeli Nyerere kuwa alikuwa akiongoza maiti? Inawezekana bado kuna viongozi ambao wanaakisi kile ambacho kilimfanya Kenyatta amsimange Nyerere.