Hassan sele jr
New Member
- Aug 28, 2019
- 1
- 0
Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3?
Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️?
Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani?
Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?
Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️?
Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani?
Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?