Hassan sele jr New Member Joined Aug 28, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Apr 11, 2022 #1 Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3? Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️? Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani? Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?
Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3? Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️? Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani? Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?