Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

Sio lazima kama ww ni Ke, ila kama ni me ni muhimu kua na abc, otherwise unaeza kuta jitu lilishaolewa ww unachukua mke wa mtu
 
Tatizo wanauliza uliza mno,yaan wanaume nao wafukunyuku kweli🙌
Na ndiyo maana nikiulizwa kuhusu ex najibu Mie bikra Ila nina watoto🤒
 
Back
Top Bottom