Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

Sasa funzo yeye litamsaidia nini?
Lets take example ex wako uliachana nae kwa sababu ni mlevi, Lazima umgusie hiyo mtu wako wa sasa ili ajue kwamba hupendi mtu mlevi na upo tayari kurisk mahusiano kama akiangukiamo kwenye ulevi.

Lakini nakuelewa ni kwanini hujaweza kuifumbua comment yangu… Maana haikuhusu kama wewe ndo miyeyusho katika mahusiano yako yaliyopita hivyo hutataka mtu wako wa sasa ajue kwa kuwa wewe ndo ulizingua.
 
Unakosea, ww mwambie tu mimi sipendi ulevi km ni wa kuelewa atakuelewa. Sio kumpa mifano halisia ya ma Ex haitasaidia chochote tena kuleta mambo ya max utaharibu tu
 
Tatizo wanauliza uliza mno,yaan wanaume nao wafukunyuku kweli🙌
Na ndiyo maana nikiulizwa kuhusu ex najibu Mie bikra Ila nina watoto🤒
Mimi wangu aliniambia ana ma Ex 7, hamu sina juzi kafanya kosa dogo tu nikaaona hii ni nafasi ya kumuacha, akawa akituma txt sijibu alishinda ndani analia hadi sauti ikabadilika bado nipo nae ila sina imani nae japo nampenda
 
Kama Kuna kitu kitayahukumu mahusiano yako ya sasa ni hilo jambo, ukweli unafaa kuwa ukweli lkn uchaguzi wa namna na mahali pa kuuwasilisha unakufanya uwe mwenye hekima ama mjinga...asipojua kuna madhara Gani? unless mahusiano yako ya kale yaathiri kwa namna fulani mahusiano ya sasa mfn: Mtoto, Talaka, umiliki wa mali ya pamoja n.k..unless otherwise...utakuwa mjinga sana kumfahamisha kuhusu safari yako iliyopita ya mahusiano....

Why am I saying these: reference ya mahusiano yaliyopita utake ama usitake itatumika kukuvurigia amani na kuondoka utulivu wa ndoa/mahusiano Yako...watch your tongue brad!

Kwani ukienda uwani unamsimuliaga mkeo/mmeo umejamba mara ngapi ama choo yako ina harufu kali kiasi Gani? kwani huo sio ukweli? Lkn mbona huchagui kusema? Usiwe mjinga... Kama sio muhimu mtu wako kujua iache ibaki kuwa ya kwako na sio dhambi.
 
Kama chapa ilale sawa,ila kama mke wa ndoa vetting ni muhimu.
 
Ni muhimu tena kwa nyakati hzi alete na cheti cha kuachana na mwenzake kutoka kwa afisa mtendaji wa eneo lake kinachothibitisha hilo 🔥
 
Ajue muhimu sana, ajue na styles zote mlizokuwa mnakunjana
 
Mimi wangu aliniambia ana ma Ex 7, hamu sina juzi kafanya kosa dogo tu nikaaona hii ni nafasi ya kumuuacha, akawa akituma txt sijibu alishinda ndani analia hadi sauti ikabadilika bado nipo nae ila sina imani nae japo nampenda
Kuongeaongea kuhusu ago haitakiwi.....ona sasa maex saba wanamvunjia penzi
 
Back
Top Bottom