kwa mwanaume, hakikisha unafanya vetting ya mtu anaetaka kumfanya mkeo, ni muhimu sana!
usipofanya vetting unaweza kuta unaoa kahaba, au binti ambae alivunja ndoa za watu, au mwingine unakuta alikua anazini na baba yake (au ndugu wa damu)
mwanaume unatengeneza kizazi chako, linda kizazi chako kwa kutafuta mke bora (mwenye uafadhali)