Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
Mimi Sikusoma na Sare aina yotote
 
tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
We kweli mtoto mdogo Hakuna unachojua. Km hujui ukweli kwanini usikae kimya lazima uandike?
 
Kwa hiyo sure zikibadilishwa wanafunzi ndiyo watakuwa na akili
Ufaulu utaongezeka

Ova
 
tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
Sio nyeupe na bluu tu,Kuna khaki,na kijani(sketi).
Nini umhimu wa sare?.
tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
 
Vijana wa 2000 utawajua tu.

Sisi tulivaa khaki.
 
Back
Top Bottom