Mzee Mchochezi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 125
- 242
Salaaam kwenu wadau
Kama mada inavyojieleza
Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto
Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita mke anaanza kupunguza mawasiliano, hali inazidi kuwa mbaya.
Baada ya Muda unapata tetesi kuwa mkeo anachepuka, na ukiunganisha doti jinsi ndoa yenu ilivyo unapata hisia asilimia kadhaa kwamba hapa kweli mke anachepuka.
Sasa kwa mtu kama huyu kuna haja ya kuendelea kufuatilia nyendo zake au ni kukausha na kuendelea na 50 mwisho kuivunja ndoa kimya kimya,maana haya masuala yanaumiza sana moyo hasa ukishajua kinachoendelea.
Kipi cha muhimu kukaa kimya au kufuatilia nyendo zake!!!????
NB: Mume anamtembelea mke wake mara kadhaa kuangalia familia na kupiga show na mke wake, ila mambo ndo yanakuwa hivyo.