mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Yeah inakuwaga hivyo mzeeWatu hawataki kuelewa kwamba kila mtu ana namna yake ya kupitia majonzi.
Na hata kama hajaumia kwa kufiwa na anayesemekana ni mpendwa wake(mtu binafsi ndo anajua nani ni mpendwa kwake), haikuhusu....
Nakumbuka nilipofiwa na mzee sikulia, machungu yalikuja kunishika miezi mingi baadae
Siku ukifiwa utajua majibu ya hili ni nini.
Utashika simu ukilia
Utapokea simu ukimaliza kuzungumza utalia
Utakula hata kama ni pilau utakapomaliza tu utalia
Yani utakojoa huku ukilia
Utajipamba lipstick na urembo na bado utalia tu
Kuhandle msiba vizuri?.
Subiri siku yakukute ndio utajua
Kama kawaida yenu baadhi kwenda kwa mkumbo bila kuelewa context.mtoa mada umewahi kufiwa? na baba, mama, mume, mtoto kaka yako mliyepatana sana umewahi? usijefikiri wanaofiwa wanajifanyisha
kwani huwa wanalazimishwa kulia??Kama kawaida yenu baadhi kwenda kwa mkumbo bila kuelewa context.
Mleta mada anahoji perception ya walioenda msibani kulazimisha wafiwa kulia, mleta mada haoji wafiwa kutolia.
wewe uliona msiba gani wageni wanafika wanaanza kuwalazimisha wafiwa walie???Kama kawaida yenu baadhi kwenda kwa mkumbo bila kuelewa context.
Mleta mada anahoji perception ya walioenda msibani kulazimisha wafiwa kulia, mleta mada haoji wafiwa kutolia.
Mimi babu yangu alikufa nikiwa likizoni kwake na nikiwa nimemshika, wenzangu wa pembeni wote wanawake. Sikulia wakalia wao tu mimi nikapanga vitu vya muhimu na kuvihamisha ndani na kufunga baadhi ya vyumba na kufanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa.Watu hawataki kuelewa kwamba kila mtu ana namna yake ya kupitia majonzi.
Na hata kama hajaumia kwa kufiwa na anayesemekana ni mpendwa wake(mtu binafsi ndo anajua nani ni mpendwa kwake), haikuhusu....
Nakumbuka nilipofiwa na mzee sikulia, machungu yalikuja kunishika miezi mingi baadae
Unajua maana na neno "perception" nililotumia?wewe uliona msiba gani wageni wanafika wanaanza kuwalazimisha wafiwa walie???
Context again. Nimesema perception, mtazamo. Kuna wanaolazimisha kwa mtazamo, hata humu nyuzi za kifo cha Mafulu na Dk. Ndugulile wapo wanaolalamika kwanini watoto "ni wakavu" na wanaongea Kingereza, huku mama alionekana anachagua kipande cha kuku.kwani huwa wanalazimishwa kulia??
wewe uliona msiba gani wageni wanafika wanaanza kuwalazimisha wafiwa walie???Unajua maana na neno "perception" nililotumia?
asante sana. Wamesoma heading tu wakaanza kutiririka ndio maana maswali yao ni "ulishawahi kufiwa, mara ukifiwa utajua".Kama kawaida yenu baadhi kwenda kwa mkumbo bila kuelewa context.
Mleta mada anahoji perception ya walioenda msibani kulazimisha wafiwa kulia, mleta mada haoji wafiwa kutolia.
Tumesoma mwaya......labda tu hukufikisha kile ulikusudia.asante sana. Wamesoma heading tu wakaanza kutiririka ndio maana maswali yao ni "ulishawahi kufiwa, mara ukifiwa utajua".
Hapa nipo msibani waombolezaji wanalalamika mbona mke wa marehemu halii, mara amepata hadi nguvu ya kupaka lipstick. Mara watoto wa marehemu utadhani hawajadiwa wanakimbizana tu." Ndio nikapata hili wazo la hii mada.Context again. Nimesema perception, mtazamo. Kuna wanaolazimisha kwa mtazamo, hata humu nyuzi za kifo cha Mafulu na Dk. Ndugulile wapo wanaolalamika kwanini watoto "ni wakavu" na wanaongea Kingereza, huku mama alionekana anachagua kipande cha kuku.
Wanalazimisha kwa mtazamo, wanatamani mfiwa ajigaragaze azimie ndio aonekane ameumia sana.
Sawa mkuu kama ulisoma.Tumesoma mwaya......labda tu hukufikisha kile ulikusudia.
Rubii jamani rubiiSubhanallah
Kafanyaje tenaRubii jamani rubii