Kuna ulimwengu usioonekana?

Kuna ulimwengu usioonekana?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.

Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.

Nitaendelea
 
Kabla mwanadamu hajapata kitu kwenye ulimwengu wake, lazima kwanza akipate kwenye ulimwengu wa roho. Kabla kitu hakijavaliwa na mwili, huwa kama nguvu isiyoweza kuonekana. Sasa, kwa kuwa vitu vingi vimeundwa na nguvu hiyo, inapaswa kuwa mfumo wa kanuni au namna fulani ili kutambulika kama gari, nyumba, mke, mtoto au kifo.

Kabla kitu hakijamfikia mwanadamu husika, hupitia malango ya mwanadamu huyo ili kiweze kuvaa mwili na kuwa kitu katika ulimwengu wa mwanadamu wa tatu. Ninasitisha hapa na kumsubiri mshana.
 
Tunaishi ulimwengu huu. Baada ya hapa ipo Astral World. Halafu ipo Brahma World. Hapa ndipo wanapokwenda watu baada ya kufa hapa duniani. Baada ya hapo ipo Patra World, ambapo ndio wapo watu waliopiga hatua zaidi, kama vile Aristotle, Socrates, Leonardo da Vinci, Winston Churchill, na wengineo. Halafu bado, inaendelea. Zipo dimensions nyingine.
 
..tunasubiri madini
20230313_223946.jpg
 
Tunaishi ulimwengu huu. Baada ya hapa ipo Astral World. Halafu ipo Brahma World. Hapa ndipo wanapokwenda watu baada ya kufa hapa duniani. Baada ya hapo ipo Patra World, ambapo ndio wapo watu waliopiga hatua zaidi, kama vile Aristotle, Socrates, Leonardo da Vinci, Winston Churchill, na wengineo. Halafu bado, inaendelea. Zipo dimensions nyingine.
hebu tuppe nyama zaidi kweny hilo..
 
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
🤔
 
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.

Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.

Nitaendelea
Nangoja mwendelezo mshana
 
Back
Top Bottom