hebu tuppe nyama zaidi kweny hilo..Tunaishi ulimwengu huu. Baada ya hapa ipo Astral World. Halafu ipo Brahma World. Hapa ndipo wanapokwenda watu baada ya kufa hapa duniani. Baada ya hapo ipo Patra World, ambapo ndio wapo watu waliopiga hatua zaidi, kama vile Aristotle, Socrates, Leonardo da Vinci, Winston Churchill, na wengineo. Halafu bado, inaendelea. Zipo dimensions nyingine.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu
.Nimakisha mb 08 so ukirudi nitumie Taarifa Mtumishi
Nangoja mwendelezo mshanaSi wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea